Midahalo Ya Wenzetu Kwa Wagombea Urais.. - LEKULE

Breaking

19 Oct 2015

Midahalo Ya Wenzetu Kwa Wagombea Urais..

Nimepata kufuatilia mchuano wa Bush (Baba) na Clinton mwaka 1992.

Bush na Clinton kwa pamoja hawakupenda kuwa na Ross Perrot kwenye mdahalo kwa sababu za kimkakati. Stretegists wa CCM baada ya kujihakikishia kuwa Edward Lowassa hatashiriki mdahalo, wako sahihi kimkakati kumzuia mgombea wao John Magufuli kutoshiriki mdahalo. Third major candidate na ambaye ana impact lakini hawezi kuwa rais, na hapa ni Anna Mghwira wa ACT can be irritant na kumsababishia major candidate kama Magufuli kupoteza points. Kimkakati, kama Edward angeshiriki, John nae angetinga, na wote wawili wangekuwa uncomfortable na Anna..

No comments: