Tarehe
22 Oktoba, 2015 Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege alipata fursa ya
kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Prof. Arthur Peter Mutharika
katika Ikulu ya Kamuzu Palace mjini Lilongwe.
Mhe. Balozi Victoria Richard
Mwakasege akipigiwa nyimbo za taifa za Malawi na Tanzania huku akishuhudiwa na
maafisa Ubalozi.
Mhe. Balozi Victoria Richard
Mwakasege akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake
Mhe. Balozi Victoria Richard
Mwakasege akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya
Kamuzu Palace mjini Lilongwe. Wanaoshuhudia ni maafisa Ubalozi Wilbroad A. Kayombo
kushoto, Elyneema Lissu, Nimpha Marunda na Mbonile Mwakatundu
Mkuu wa Itifaki Bw. Harvey
Chigumula akimtambulisha Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege kwa Mhe. Prof.
Arthur Peter Mutharika
Mhe. Balozi Victoria Richard
Mwakasege akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Rais Prof. Arthur Peter
Mutharika
Maafisa Ubalozi wakitambulishwa kwa Mhe. Rais Prof. Arthur
Peter Mutharika
Mhe. Balozi Victoria Richard
Mwakasege na Mhe. Rais Prof. Arthur Peter Mutharika wakitoka nje baada ya
mazungumzo
Mhe. Balozi Victoria Richard
Mwakasege akipata picha ya pamoja na Mhe. Prof. Arthur Peter Mutharika
Mhe. Balozi Victoria Richard
Mwakasege akiagana na Mhe. Prof. Arthur Peter Mutharika
Mhe. Balozi Victoria Richard
Mwakasege akiondoka Ikulu mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho
Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege
akiagana na Afisa wa Itifaki Bw. Miller Chizukuzuku mara baada ya kuwasili
nyumbani
Watumishi
wa Ubalozi wakiwa na Mhe. Balozi Victoria Richard
Mwakasege nyumbani kwake
No comments:
Post a Comment