Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, tayari Keshapiga Kura.....Kasema Anatarajia Ushindi Wa Asilimia 72 - LEKULE

Breaking

25 Oct 2015

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, tayari Keshapiga Kura.....Kasema Anatarajia Ushindi Wa Asilimia 72

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, tayari amepiga kura yake kwenye Kituo cha Mtoni, Chumba Na. 13.

Tofauti  na  ilivyokuwa  kwa  mgombea  Urais  wa  CCM, Dr Shein, Maalim yeye  amedai kwamba kura yake ni siri yake lakini ana matumaini ya ushindi wa asilimia 72.


No comments: