Mama Lowassa Atoa Kichapo Ukumbini baada ya Kushikwa PABAYA na Mlevi - LEKULE

Breaking

19 Oct 2015

Mama Lowassa Atoa Kichapo Ukumbini baada ya Kushikwa PABAYA na Mlevi


Mke  wa  waziri  Msataafu, Mama  Regina  Lowassa  amejikuta  katika  wakati  mgumu  baada  ya  mwanaume  mmoja  kumpapasa   wakati  akiingia  ukumbini.


Tukio  hilo  lilimkera  mama  Lowassa  na  kuamua  kumpiga  mwanaume  huyo. 
  

No comments: