MAFURIKO Ya Lowassa Huko Moshi, Karatu na Siha jana Ijumaa ya Octoba 9 - LEKULE

Breaking

10 Oct 2015

MAFURIKO Ya Lowassa Huko Moshi, Karatu na Siha jana Ijumaa ya Octoba 9

Moshi

Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa, Katika Uwanja wa Isanja, Kata ya Nasai, Jimbo la Siha, Mkoani Kilimanjaro jana Oktoba 9, 2015.
Mhe. Kingunge Ngombare Mwiru akiongea na Wananchi wa Karatu katika viwanja vya Mbowe Ijumaa 9/10/2015

Mwenyekiti wa Chadema taifa Mhe. Freeman Mbowe akiongea na Wananchi wa Karatu katika viwanja vya Mbowe Ijumaa 9/10/2015  

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbowe, Mjini Karatu, Mkoani Manyara jana Oktoba 9, 2015


Sehemu ya wananchi wa Mji wa Karatu, wakifatilia kwa makini hotuba ya Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbowe, Mjini Karatu, Mkoani Manyara jana Oktoba 9, 2015.  

No comments: