Mabomu ya Machozi Yarindima Zanzibar Kuwatawanya Wafuasi wa CUF Walioingia Barabarani Kushangilia Ushindi wa Maalim Seif Sharif Hamad - LEKULE

Breaking

26 Oct 2015

Mabomu ya Machozi Yarindima Zanzibar Kuwatawanya Wafuasi wa CUF Walioingia Barabarani Kushangilia Ushindi wa Maalim Seif Sharif Hamad


Hali  ya  Usalama  Zanzibar  sio  nzuri, Polisi amelazimka  kutumia  mabomu  ya  machozi  kuwatawanya wafuasi  wa  CUF  walioingia  barabarani  kushangilia  ushindi  wa  Maalim Seif Sharif Hamad  ambaye  amejitangazia  ushindi  hata  kabla  ya ZEC  kumaliza kutangaza  matokeo.

Mabomu  ya  machozi  yamepigwa  kwa  wingi  katika  mji  wa  Chakechake  baada  ya  wananchi  kukaidi  amri  halali ya  Polisi  ya  kuwataka  watawanyike 

No comments: