Ester Matiko (Chadema) Atangazwa Rasmi kuwa Mshindi wa Kiti cha Ubunge Tarime Mjini - LEKULE

Breaking

26 Oct 2015

Ester Matiko (Chadema) Atangazwa Rasmi kuwa Mshindi wa Kiti cha Ubunge Tarime Mjini



Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Tarime Mjini, Mwanjombe limemtajngaza rasmi Ester Matiko (Chadema) kuwa mshindi katika kinyang’anyiro cha ubunge wa jimbo hilo.
 
Matiko amekuwa mbunge wa kwanza kutangazwa rasmi huku akiweka histori kubwa katika wilaya ya Tarime mjini kuwa mwanamke wa kwanza kuwa mbunge katika wilaya hiyo inayosadikika kuwa na historia ya mfumo dume hususan katika ngazi ya familia.
 
Bi. Matiku  amepata kura 20,017 na kumshinda mpinzani wake wa karibu Kembaki Michael Mwita wa CCM aliyepata kura 14,025

No comments: