Askofu Josephat Gwajima amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu Tuhuma alizopewa na aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa
Video ya kwanza: Gwajima akisimulia alivyojuana na Dr Slaa.
Video ya Pili: Mchungaji Gwajima asema Urafiki wao ulianzia pale Dr. Slaa alipomuomba walinzi kutoka kanisani akihofia kulindwa na polisi.
Video ya 3: Mchungaji Gwajima amesema kauli za Dr. Slaa kuhusu ujio wa Lowassa CHADEMA
si za kweli akibainisha kuwa aliyemtaka Lowassa ni Dr. Slaa.
Video ya 4: Mchungaji Gwajima amethibitisha kwa kumwita mlinzi wake atoe ushahidi kuwa
Dr. Slaa alifukuzwa na mkewe baada ya kumkaribisha Lowassa ndani ya
CHADEMA.
Video ya 5:Gwajima akionyesha vielelezo vya mazungumzo yake na Dk.Slaa alipotupiwa mabegi nje na mkewe.
Video ya 6:Wachungaji waeleza namna mke wa Dk.Slaa alivyokuwa na mchango mkubwa wa maamuzi ya Dk.Slaa
Video ya 7: Gwajima amehitimisha kwa kutoa ujumbe mzito kwa usalama wa taifa
Mpekuzi blog
No comments:
Post a Comment