18 Sept 2015

Uzinduzi wa Kampeni za CUF jimbo la Malindi uliofanyika Mfenesi Mazizi jana

 Wagombea wa CUF jimbo la Malindi wakiwa katika Meza kuu wakati wa uzinduzi wa Kampeni za kuwania jimbo hili jana 
 Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CUF jimbo la Malindi, Ali Saleh akijinadi hapo Mfenesi mazizi jana
 Wafuasi na wapenzi wa CUF waliohudhuria mkutano wa kampeni kwa jimbo la Malindi Mfenesi Mazizi

  Wafuasi na wapenzi wa CUF waliohudhuria mkutano wa kampeni kwa jimbo la Malindi Mfenesi Mazizi



Hatimaye leo ‪‎CUF‬ Jimbo la Malindi‬ imezindua kampeni huko Mfenesi Mazizi kwa kishindo kikubwa. 


 Walioshiriki uzinduzi huo ni Ally Saleh na Nassor Amin Said na Amina Uwesu . 

No comments:

Post a Comment