18 Sept 2015

Uzinduzi wa kampeni za CCM Mkoa wa Kusini Unguja

 Baadhi ya wanachama wa CCM waliohudhuria Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi ya Majimbo na Wadi za Mkoa wa Kusini Unguja iliyozinduliwa na Mwenyekti wa Kamati ya Taifa ya Kampeni ya CCM Balozi Seif Ali Iddi hapo michamvi Wil;aya ya Kati.
  Balozi Seif akizindua rasmi kampeni za Uchaguzi kwa majimbo na Wadi za Mkoa wa Kusini Unguja hapo Michamvi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusni Unguja.

 Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Mapinduzi wakijimwaga katika burdani mbali mbali zilizokuwa zikitumbuiza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi za Mkoa wa Kusini Unguja.

 Balozi Seif akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chwaka Ndugu Masuria Mshamba kwenye uzi nduzi wa Kampeni za uchjaguzi Mkoa wa Kusini Unguja.


  Balozi Seif akiwanadi  kwa Wanachama wa Cham,a cha Mapinduzi na Wananchi wagombea  nafasi za Uwakilishi na Ubunge  Jimbo la Uzini kwenye uzinduzi huo.

 Wagombea Ubunge na Uwakilishi kupitia chama cha Mapinduzi katika Jimbo la Tunguu  wakiomba kura katika mkutano wa uzinduzi wa Kampenzi ya Uchaguzi Mkoa wa Kusini Unguja.



Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Kampeni ya CCM Balozi Seif akiwanadi wagombea  Ubunge na Uwakilishi kupitia kupitia chama hicho katika Jimbo la Paje wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi ya Mkoa wa Kusini Unguja.

No comments:

Post a Comment