Mteja
wa bia ya Tusker Bi. Elizabeth Ulomi (katikati) akizungumza na
mshereheshaji wa kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (kushoto)
kabla ya kupokea zawadi yake ya mfuko na fulana wakati wa hafla ya
kuipongeza baa ya Coast Pub iliyopo Tangi Bovu-Mbezi beach jijini Dar es
salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli
Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker.
Mteja
wa bia ya Tusker Ezra Mlawa (katikati) akizungumza na mshereheshaji wa
kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (kulia) mara baada ya meza
yake kufikiwa na zawadi ya bia za bure na fulana katika hafla ya
kuipongeza baa ya Miti Mitatu iliyopo Kimara-Korogwe jijini Dar es
salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli
Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker,(Kushoto) ni balozi wa bia hiyo
Veronica Mbilinyi.
Mpenzi
wa bia ya Tusker aliyefahamika kwa jina la Kikya Mathias akizungumza na
mshereheshaji wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Gadner
Habash kabla ya kupokea zawadi yake ya mfuko na fulana wakati wa hafla
ya kuipongeza baa ya Coast Pub iliyopo Tangi Bovu-Mbezi Beach jijini Dar
es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli
Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker.
Mshereheshaji
wa kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (aliyesimama) kwenye
picha ya pamoja na Bw. Cheni Omary ambaye alijishindia bia za bure na
fulana wakati promosheni ya Fanyakweli Kiwanjani ilipokua ikiendelea
katika kiwanja cha Miti Mitatu kilichopo Korogwe jijini Dar es salaam.
Mkazi
wa Kibaha-Pwani Bi Emelda Joseph akipokea zawadi ya fulana toka kwa
Msimamizi wa Mauzo wa Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Ubungo Victor
Mhindi katika hafla ya kuipongeza baa ya Miti Mitatu ya Kimara-Korogwe
jijini Dar es salaam mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki
kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker.
Mteja
wa muda mrefu wa bia ya Tusker na mkazi wa Goigi, Mbezi Beach
aliyefahamika kwa jina moja tu la Chong akiifurahia bia hiyo huku
akikabidhiwa zawadi yake ya fulana na Msimamizi wa Mauzo ya Kampuni ya
bia ya Serengeti kanda ya Mbezi Beach Obedi Salema katika hafla ya
kuipongeza baa ya Coast Pub iliyopo Tangi Bovu-Mbezi Beach jijini Dar es
salaam mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya
Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker.
Promosheni hii inaendelea mikoani pia huku lengo kuu likiwa ni
kuhamasisha baa mbalimbali za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli
linapokuja suala la utoaji huduma kwa wateja lakini pia kuzisaidia baa
hizo kuongeza mauzo ya siku wakati wa promosheni.
No comments:
Post a Comment