TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MATOKEO YA OPERESHENI GIBOIA II - LEKULE

Breaking

14 Sept 2015

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MATOKEO YA OPERESHENI GIBOIA II


 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Hiiti Sillo akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini(TFDA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi  imefanya operesheni katika maeneo 243 na kufanikiwa  kukamata bidhaa bandia na zile zilizomaliza muda wa kutumika ambapo zina thamani  zaidi ya shilingi milioni 135. katika mkutanono uliofanyika leo jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Dawa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Henry Irund.
 Naibu Kamishina wa Polisi (DCI) Makao Mkuu ya Upelelezi na Jinai, Hezron Gyimbi akuzungumza na wanahabari hawapo pichani juu ya Operesheni GIBOIA II iliyofanyika sanjari katika nchi nane zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara ambazo ni Afrika Kusini, Zimbabwe, Malawi na Msumbiji. Operesheni GIBOIA II ameyasema hayo katika mkutano ulifanyika jijini Dar es Salaam kulia ni   Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Hiiti Sillo.
 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA)  Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Hiiti Sillo na wakionesha waandishi wa habari bidhaa bandia  katika mkutano huo jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi wa Dawa Mwandamizi, Sonia Mkumbwa akiwaonesha  Bidhaa bandia  katika mkutano jijini Dar es Salaam.

No comments: