Serena Williams apoteza ushindi kwenye mechi ya U.S Open, Drake alaumiwa…!! - LEKULE

Breaking

12 Sept 2015

Serena Williams apoteza ushindi kwenye mechi ya U.S Open, Drake alaumiwa…!!


Staa wa mchezo wa Tennis, Serena Williams na superstaa wa muziki wa Hip hopDrake wamekuwa topic kwenye mitandao mingi baada ya tetesi nyingi kusambaa kuwa wawili hao wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi.
drake
Yote yalianza siku ambayo mapaparazzi walimnasa Drake kwenye picha akiwa kwenye mashindano ya Serena Williams huko Australia… haikuishia hapo, baada ya Serenakushinda Australia Open Championships, Drake alionekana tena kwenye mashidano yake ya French Open (Roland Garros), Wimbledon na haya ya jana U.S Open Championships.
drake2
Sasa jana staa huyo wa tennis aliweka headlines tofauti baada ya kukosa ushindi kwenyeU.S Open dhidi ya Roberta Vinci wa Italy… Cha kushangaza zaidi mashabiki wamemshambulia Drake na kumlaumu sana kwa kitendo cha Serena Williams kukosa ushindi huo!
drake5
Mashabiki wanadai kuwa Drake amekuwa kikwao kwenye mashindano haya na amemchanganya sana Serena kiasi cha kumfanya ashindwe kuweka akili yake yote kwenye mashindano hayo, mashindano ambayo kama Serena Williams angeshinda basi angeweka historia ya kuwa mwanamke mweusi kushinda mashinano yote hayo kwa mfululizo!
drake4

No comments: