Picha na Video ya Magufuli Akipiga Push-Up Kuonesha Yuko FITI - LEKULE

Breaking

23 Sept 2015

Picha na Video ya Magufuli Akipiga Push-Up Kuonesha Yuko FITI


Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli akipiga 'push-up' kuonesha kuwa anauwezo wa kufanya kazi ukilinganisha na wagombea wengine.

Tazama  video  ya  Dr. Maguli  hapo  chini  Akipiga  Push-Up