23 Sept 2015

Makamu wa Rais Mgeni Rasmin Siku ya BAHARI Duniani Mkoani Mtwara leo.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa msemaji wa Wizara ya Mkiundombinu Zanzibar Nafisa Madai alipotembelea mabanda ya maonesho kwenye kilele cha siku ya Bahari Duniani iliyofanyika kitaifa leo Sept 22,2015  katika Viwanja vya Bandari Club Mtwara.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa msemaji kikosi cha zimamoto Edward kazingoma juu ya utendaji kazi baharini alipotembelea mabanda ya maonesho kwenye kilele cha siku ya Bahari Duniani iliyofanyika kitaifa leo Sept 22,2015  katika Viwanja vya Bandari Club Mtwara.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa msemaji kikosi cha Navi cha JWTZ CJ Mjema juu ya utendaji kazi baharini alipotembelea mabanda ya maonesho kwenye kilele cha siku ya Bahari Duniani iliyofanyika kitaifa leo Sept 22,2015 katika Viwanja vya Bandari Club Mtwara.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa msemaji kikosi cha Navi cha JWTZ mteule Daraja la pili Kavula juu ya utendaji kazi kwenye Meli baharini alipotembelea mabanda ya maonesho kwenye kilele cha siku ya Bahari Duniani iliyofanyika kitaifa leo Sept 22,2015  katika Viwanja vya Bandari Club Mtwara.


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye kilele cha siku ya Bahari Duniani iliyofanyika kitaifa leo Sept 22,2015  katika Viwanja vya Bandari Club Mtwara.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Wizara mbalimbali kwenye kilele cha siku ya Bahari Duniani iliyofanyika kitaifa leo Sept 22,2015  katika Viwanja vya Bandari Club Mtwara.