Maandamano ya askari polisi kuelekea katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama
Maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama mkoa wa Iringa leo
Askari wa FFU wakiwa katika maadhimisho hayo.
Viongozi
wa jeshi la polisi na serikali ya mkoa wa Iringa pamoja na kamati ya
usalama barabarani wakipokea maandamano hayo katikati ni mkuu wa mkoa wa
Iringa Amina Masenza.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akiongoza kupokea maandamano leo.
Mkuu wa mkoa Amina Masenza akipata maelezo katika banda la afya.
Mkuu wa
mkoa Amina Masenza na mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa
Iringa Salim Asas wakitembelea banda ya askari wa usalama barabarani.
Askari wa usalama barabarani wakionyesha kamera ya kisasa ya kupima spidi.
Mkuu wa
mkoa Amina Masenza kulia na Salima Asas katikati na katibu tawala mkoa
wa Iringa Ayubu Wamoja wakitazama kifaa cha kupima ulevi kwa madereva.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akijiandaa kuzima moto.
Bi Masenza na kamati ya ulinzi na usalama mkoa wakitazama gari la zima moto.
Wahitimu wa mafunzo ya boda boda wakipewa vyeti vyao.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza katikati akiwa na viongozi wengine wa mkoa wa Iringa
No comments:
Post a Comment