Rais Kikwete akiwa na Rais Filipe Jacinto Nyusi wa Mzumbiji na mawaziri wao wa nchi za nje katika mkutano huo mjini New York.
Rais Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Lars Loekke Rasmussen
Rais Kikwete akiwa na Rais mstaafu wa Finland Mama Tarja Halonen
Rais
Kikwete na ujumbe wa Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na ushurikiano wa
Kimataifa Mhe Bernard Membe, Waziri wa Waziri wa Maendeleo ya
Jamii,Jinsia na Watoto Mhe Sophia Simba, Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe
Yussuf Mzee, Katibu Mkuu Wizara ya
Mambo ya Nje, Balozi Liberata Mulamula na .Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa.
Mambo ya Nje, Balozi Liberata Mulamula na .Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa.
Rais
Kikwete na Ujumbe wake wakimlaki Baba Mtakatifu Francis alipowasili
kuhutubia Umoja wa Mataifa kwa mara ya kwanza. Picha kwa hisani
ya Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa.