Google yabadili mwonekano wa Nembo yake - LEKULE

Breaking

2 Sept 2015

Google yabadili mwonekano wa Nembo yake

   

Google yaamua kwenda na kasi ya uhitaji wa huduma ya watumiaji wake

Google imebadili nembo yake mpya kwa ajili ya watumiaji wake

mwonekano mpya wa nembo hii unaonekana kuwa wa rangi zenye kuvutia.

Google imesema mabadiliko haya yalihitajika kwa sababu watumiaji wake wengi wanapatikana kwenye simu za mkononi kuliko Kompyuta za mezani.

kampuni ya Google imesema muonekano wa Nembo hii mpya, ni mzuri kwenye vioo vya aina mbalimbali vya simu na vifaa vingine ambavyo watumiaji wake hutumia Google

Google imetangaza mabadiliko ya mtandao wake wakisifu kuwa ni rahisi zaidi,yenye kupendeza,ya kirafiki nembo ya sasa ya Google imepambwa kwa rangi ya blue,nyekundu,njano na kijani.

No comments: