Mwalimu wa somo la Kompyuta
mpakato wa Shule ya Sekondari ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, Josiah
Kimaro akimfundisha somo la Kompyuta Ibrahim Athuman ambaye ni
wanafunzi wa kidato cha Nne wa shule hiyo, walipotembelewa na maofisa wa
Taasisi ya Vodacom Foundation kujionea maendeleo ya mradi wa Smart
School unaofadhiliwa na taasisi hiyo na kunaendeshwa na Learning In Sync
kwa ajili ya wanafunzi wa shule za sekondari kupata mafunzo ya masomo
mbalimbali kupitia kompyuta hizo.
Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha
Nne wa Shule ya Sekondari Makumbusho ya jijini Dar es Salaam,
wakimsikiliza Mwalimu wa somo la Kompyuta mpakato wa shule hiyo, Josiah
Kimaro akiwafundisha wakati walipotembelewa na maofisa wa Taasisi ya
Vodacom Foundation kujionea maendeleo ya mradi wa Smart School
unaofadhiliwa na taasisi hiyo na kunaendeshwa na Learning In Sync kwa
ajili ya wanafunzi wa shule za sekondari kupata mafunzo ya masomo
mbalimbali kupitia kompyuta hizo.
Halima Hassani na Ally Hamisi
ambao ni wanafunzi wa kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Makumbusho ya
jijini Dar es Salaam, wakiwa darasani kujifunza somo la Kompyuta
mpakato wakati walipotembelewa na maofisa wa Taasisi ya Vodacom
Foundation kujionea maendeleo ya mradi wa Smart school unaofadhiliwa na
taasisi hiyo na kunaendeshwa na Learning In Sync kwa ajili ya wanafunzi
wa shule za sekondari kupata mafunzo ya masomo mbalimbali kupitia
kompyuta hizo.
Mwalimu wa somo la Kompyuta
mpakato wa Shule ya Sekondari ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, Josiah
Kimaro akiwafundisha somo la Kompyuta mpakato wanafunzi wa kidato cha
Nne wa shule hiyo, wakati walipotembelewa na maofisa wa Taasisi ya
Vodacom Foundation kujionea maendeleo ya mradi wa Smart School
unaofadhiliwa na taasisi hiyo na kunaendeshwa na Learning In Sync kwa
ajili ya wanafunzi wa shule za sekondari kupata mafunzo ya masomo
mbalimbali kupitia kompyuta hizo.
No comments:
Post a Comment