Tamasha la NHC Family Day lafanyika Kunduchi Beach Hotel - LEKULE

Breaking

3 Aug 2015

Tamasha la NHC Family Day lafanyika Kunduchi Beach Hotel

Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Mawasiliano waNHC, Bi Suzan Omari akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa shirika hilo waliokuwa wakisimamia michezo mbalimbali wakati wa tamasha la NHC Family Day lililofanyika kwenye hoteli ya Kunduchi Beach mwishoni mwa wiki likishirikisha wafanyakazi wa shirika hilo jijini Dar es salaam na familia zao na kufahamiana ikiwani pamoja na kubadilishana mawazo.
Wafanyakazi hao wakishindana katika mbio ufukweni.
Mmoja wa wafanyakazi wa NHC akiwa amejishindia Jogoo katika shindano la kufukuza kuku.
Baadhi ya wafanyakazi wakijiandaa kushindana katika mbio za magunia.
Wakichuana vikali katika mbio za magunia.
















No comments: