Nape: Ni UPUUZI Kwa ICC Kufuatilia Uchaguzi wa Tanzania - LEKULE

Breaking

25 Aug 2015

Nape: Ni UPUUZI Kwa ICC Kufuatilia Uchaguzi wa Tanzania


Baada ya Muendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya kimataifa ya uhalifu (ICC) kusema kuwa wanaufuatilia kwa makini uchaguzi mkuu wa Tanzania kuhakikisha hakuna haki za binadamu zitakazo kiukwa, Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema anadhani ni upuuzi kwa mahakama hiyo kusema inaangalia uchaguzi kwani si kazi yao. 
 
Asema kama kweli wanafuatilia mambo haya basi wafuatilie na nchi za ulaya.

No comments: