Mcheza sinema maarufu wa kike wa Nigeria, Mercy Johnson.
Mwigizaji huyo alielezea hilo majuzi akijibu swali aliloulizwa iwapo huwa anapata athari yoyote kuhusu sehemu hizo za uigizaji ambapo alisema: “Wakati kuna haja ya kuigiza sehemu ya mapenzi, huwa ninafunga macho yangu na kusema kwamba jambo hili halina athari yoyote. Huwa sihisi chochote. Huwa tunafanya hivyo kwa ajili ya kufikisha tu ujumbe kwa watazamaji wetu.”
No comments:
Post a Comment