Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akimuelekeza
jambo Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd, ambaye
alitembelea makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji
wa miradi ya Shirika hilo, anayeshuhudia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi.

Makamu
wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd na Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi wakiangalia
baadhi ya mabango walipotembelea makao makuu ya Shirika la Nyumba la
Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
Bwana
Mohamed Sharif, Mtanzania ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Dubai
Sports City, akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, William Vangimembe Lukuvi, huku Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na Makamu wa pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ally Idd wakiwasikiliza.
Bwana
Mohamed Sharif, Mtanzania ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Dubai
Sports City akimueleza Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ally Idd namna ujenzi wa jiji la la kisasa la NHC litakaloanza kujengwa
Usa River, Arusha.
Makamu
wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd na Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi wakiangalia
baadhi ya mabango walipotembelea makao makuu ya Shirika la Nyumba la
Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
Kaimu
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye
Mwambusi akimwelekeza jambo Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Ally Idd huku Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
William Vangimembe Lukuvi na Bw Mchechu wakishuhudia.
No comments:
Post a Comment