Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akifungua kikao
kazi cha wadau cha kuandaa Mkakati wa Kitaifa wa kujenga na kuimarisha
Stadi za kazi katika Sekta zinazochochea ukuaji wa uchumi Tanzania
Washiriki wa kikao kazi cha wadau
cha kuandaa Mkakati wa Kitaifa wa kujenga na kuimarisha Stadi za kazi
katika Sekta zinazochochea ukuaji Uchumi Tanzania wakiwa katika picha ya
pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Baadhi ya washiriki katika kikao kazi cha wadau cha kuandaa Mkakati wa Kitaifa wa kujenga na kuimarisha Stadi za kazi katika Sekta zinazochochea ukuaji Uchumi Tanzania.


No comments:
Post a Comment