Muda huu polisi wanapiga mabomu uwanja wa ndege jijini Mwanza kuwatawanya wananchi waliokusanyika kumpokea Lowassa.
Mabomu yamepigwa muda mfupi baada ya ndege inayosadikiwa kuwa ni ya Lowassa kutua uwanjan, hali iliyowafanya wananchi walipuke kwa furaha huku wakiimba nyimbo za Chadema.
Kadhia hiyo iliwafanya Polisi watumie nguvu ya ziada kuwatawanya wananchi hao waliokuwa wametanda barabarani.
No comments:
Post a Comment