Breaking News: Lipumba Ajiulu Uenyekiti Wa CUF....Adai UKAWA Wameshindwa Kusimamia Makubaliano - LEKULE

Breaking

6 Aug 2015

Breaking News: Lipumba Ajiulu Uenyekiti Wa CUF....Adai UKAWA Wameshindwa Kusimamia Makubaliano


Mwenyekiti  wa  Chama  cha  Wananchi, CUF, Profesa  Ibrahim  Lupumba  amejiuzulu  nafasi  ya  Mwenyekiti  wa  chama  hicho  kwa  madai  kuwa  UKAWA  wameshindwa  kusimamia  makubaliano  waliyokuwa  wameyafikia, hivyo  yeye  atabaki  kuwa  mwanachama  wa  kawaida  wa  CUF

No comments: