95 hawajulikani waliko nchini China - LEKULE

Breaking

16 Aug 2015

95 hawajulikani waliko nchini China

95 hawajulikani waliko nchini China
Siku nne baada milipuko mikubwa kuukumba mji wa Tianjin nchini China, utawala unasema kuwa bado watu 95 hawajulikani waliko.
Karibu wale wote wasiojulikana waliko ni wazima moto.
Idadi ya watu waliouawa kwenye milipuko hiyo imepanda hadi zaidi ya watu 110.
Wasimamizi wa mitaandao nchini China wamefunga mitandao kadha inayodaiwa kuzua hofu kwa kuchapisha habari zisizokuwa za kweli.
Mapema mamia ya mitandao ya kijamii ilifungwa na utawala kwa kueneza uvumi kuhusu milipuko hiyo.

No comments: