Wahitimu wa elimu ya msingi katika shule ya kimataifa ya Shinning School  Songwe Mbeya wakiwa katika maandamano ikiwa ni sehemu ya kufurahia tukio hilo mwishoni mwa wiki mkoani hapa 
Wazazi wakiwa  katika nyuso za furaha baada ya watoto wao kuhitimu elimu ya msingi katika shule hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa shule ya kimataifa ya Shinning School iliyopo nje kidogo ya mji wa mbeya eneo la songwe kiwandani Amani Kajuna ambaye pia ni Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Mbeya akizungumza katika hafla hiyo.
Mmoja wa wanafunzi waliohitimu elimu ya msingi  2015  shule ya kimataifa ya Shinning School  akionesha ushahidi  wa cheti chake mara baada ya kutunukiwa na uongozi wa shule hiyo katika mahafali hayo ambayo yamefanyika shuleni hapo.

Hongera kwa kuhitimu elimu ya msingi.