RONALDINHO ATAMBULISHWA KWA MASHABIKI WA FLUMINENSE - LEKULE

Breaking

21 Jul 2015

RONALDINHO ATAMBULISHWA KWA MASHABIKI WA FLUMINENSE


Baada ya kuhamia club ya Fluminense Ronaldinho amepewa jezi namba 10 na kutambulishwa mbele ya mashabiki. Ronaldihno mwenye miaka 35 amehamia club hii baada ya kumaliza kuchezea club ya Queretaro

No comments: