RAIS KIKWETE AMUAPISHA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI BW. KAILIMA RAMADHANI KOMBEY - LEKULE

Breaking

27 Jul 2015

RAIS KIKWETE AMUAPISHA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI BW. KAILIMA RAMADHANI KOMBEY

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam Julai 25, 2015.
Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam Julai 25, 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi baada ya kumuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey baada ya kumuapisha kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam. 
Rais Kikwete akiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jana Julai 25, 2015. Wengine kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Florens Turuka, Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi  Jaji Hamid Mohamoud  Hamid, Rais Kikwete, Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi.
Rais Kikwete akisalimiana na mtoto wa Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey, Msemakweli (2)
wakati wa hafla hiyo fupi

No comments: