NISHA: KISIASA BADO NIPONIPO, NAENDA ZANGU CHINA KUTOA VICHEKESHO - LEKULE

Breaking

3 Jul 2015

NISHA: KISIASA BADO NIPONIPO, NAENDA ZANGU CHINA KUTOA VICHEKESHO

Staa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema kuwa hatarajii kugombea wala kujiingiza kwenye siasa kwa sababu bado yupoyupo katika eneo hilo

Akizungumza na LEKULE, Nisha alisema kuwa, katika kipindi hiki cha mikikimikiki ya siasa atakuwa nje ya nchi kwani anatarajia kwenda China mwezi huu alikoitwa kufanya vichekesho.
“Nimepata dili, nitakwenda China kwa ajili ya kufanya comedy (vichekesho), nimepata fursa lazima niitumie ipasavyo. Kuweka muvi zangu mtandaoni kumenisaidia sana hivyo kwenye mambo ya siasa bado niponipo sana,” alisema Nisha.

No comments: