Mzee Majuto Adai Kushobokewa na Vibinti - LEKULE

Breaking

2 Jul 2015

Mzee Majuto Adai Kushobokewa na Vibinti

 Staa mkongwe kunako filamu Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amefungukia shutuma anazopewa na mashabiki wake kwa kupenda kuonekana na ‘vibinti’ kuwa wanamshobokea mwenyewe.

Mzee Majuto ambaye kifani ni bingwa wa komedi amesema, kutokana na kazi yake ya uigizaji imemfanya kuzimikiwa haswa na mabinti.

“Sijawahi kumshobokea binti yoyote ila wenyewe ndiyo huwa wananishobokea kutokana na uigizaji wangu,” amesema Mzee Majuto.

Hivi karibuni, Mzee Majuto alidaiwa kuoa binti mdogo ambaye ni sawa na mjukuu wake mwenye umri wa miaka 18 akidai kuwa sheria ya dini inamruhusu kufunga ndoa na wake wanne.

No comments: