MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. MECK SADICK AONGOZA ZOEZI LA KUOSHA MAGARI LA MEDIA CAR WASH FOR CANCER, LEADERS CLUB LEO‏ - LEKULE

Breaking

5 Jul 2015

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. MECK SADICK AONGOZA ZOEZI LA KUOSHA MAGARI LA MEDIA CAR WASH FOR CANCER, LEADERS CLUB LEO‏

Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akiosha gari wakati wa  shughuli hiyo maalum kwa ajili ya kuchangia waandishi wenye udhoofu wa afya zao.
Mkurugenzi Mkuu wa Habari Maelezo (wa kwanza kushoto)  Athur Mwambene akiosha gari.
Wakielekea kuosha magari.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadick akiongea na waandishi wa habari pamoja na wadau mbalimbali waliofika kuosha magari yao kwa ajili ya kuwachangia waandishi wa habari wenye matatizo ya saratani.
Mkuu wa Wilaya ya Kinomdoni, Paul Makonda akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuongea na waandishi wa habari pamoja na wadau.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadick akizindua zoezi la kuosha magari katika viwanja vya Leaders Club, Dar kwa ajili ya kuchangia fedha kwa waandishi wa habari ambao wanamatatizo ya kiafya ikiwemo saratani.





No comments: