Pengine ulidhani labda kila mmoja duniani anayo “time”, ya kufahamu historia za stars wote wa muziki, ila huyu Meya wa Toronto atakuacha na mshangao kidogo.
Meya wa manispaa ya Toronto, yupo katika harakati za kujiweka sawa jimboni kwake “so” akamtaja Yeezus kama ni moja kati ya wakali wa Hip Hop watakaotisha kwenye Stage.
Kituko kilikuja pale ambapo alianza kumsifia Kanye, akidai amesikiliza “mikwaju” yake usiku kucha akamalizia pia anahamu ya kumuona msanii huyu wa Canada kauli iliyowafanya waandishi kuangua kicheko.
Wachambuzi wa burudani wanadai Meya huyo, alimfananisha baba North na Drake.



No comments:
Post a Comment