Zanzibar.
Baraza la Mitihani nchini Necta leo limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema kuwa umefaulu umeongezeka kwa asilimia 0.61.
Baraza la Mitihani nchini Necta leo limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema kuwa umefaulu umeongezeka kwa asilimia 0.61.
Akitangaza
matokeo hayo mjini Zanzibar leo, Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles
Msonde alisema mwaka huu idadi ya ufaulu ni asilimia 98.87
ikilinganishwa na asilimia 98.26.
Dk Msonde alisema
jumla ya watahiniwa 38,853 wamefaulu mitihani hiyo kati ya watahiniwa
40,753 waliofanya mitihani hiyo ya kumaliza kidato cha sita. Aliongeza
kuwa kuna watahiniwa 35 ambao walishindwa kufanya mitihani yao baada ya
kuugua ghafla. Dk Msonde aliongeza kuwa kati ya waliofaulu, wasichana ni
11,734 na wavulana ni 27,119.

No comments:
Post a Comment