Ester Bulaya na James Lembeli kwenye Mkutano wa Chadema hii leo jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe amewakabidhi rasmi kadi za uanachama, aliyekuwa Mbunge wa Kahama,
Mh. James Daudi Lembeli na aliyekuwa Mbuge wa Kuteuliwa mkoani Mara,
Ester Amos Bulaya kwenye Mkutano wa chama hicho unaoendelea mpaka sasa
jijini Mwanza.



No comments:
Post a Comment