Rais Obama na Familia yake, hii ni kama TBT hivi… picha moja ya zamani zamani kabisa.
Kila
ukiingia kwenye Mitandao ya Kijamii Kenya stori nyingi kubwakubwa na
zenye headlines ni kuhusu ujio wa Rais Obama.. sio kitu kigeni kwa
sababu hata alivyokaribia kuja TZ stori zilikuwa nyingi vilevile na
zinazofanana na hizo.












No comments:
Post a Comment