Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka hivi karibuni amewekwa chini na familia yake na kupewa onyo kuhusu wanaume pamoja na maadili.
Kwa mujibu wa chanzo, Rose aliambiwa
maneno mengi na familia yake ikimtaka ajirekebishe na haswa ajitume
zaidi katika kazi zake anazofanya.
“Familia yake imeamua kumuweka chini na
kumwambia mengi kuhusu maisha haswa ikimtaka ajirekebishe tabia yake kwa
ujumla,” kilisema chanzo.
Rose alipotafutwa kuweka wazi juu ya hili, alifunguka;
“Kila familia ina utaratibu wake, kwahiyo mimi kuwekwa na familia na kupewa onyo wala siyo suala la ajabu.”
No comments:
Post a Comment