CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema hakikushiriki kikao cha jana cha
UKAWA kutokana na sababu za kikatiba za ndani ya chama hicho na si
kwamba wamejitoa.
Taarifa hiyo imetolewa leo na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, Mhe. Magdalena Sakaya aliyesema kuwa kwa sasa wamekuwa na vikao vinavyojadili kwa upana juu ya namna watakavyogawana madaraka endapo wakishinda uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Sakaya amesema wanachokifanya ni sawa na vyama vingine vinavyofanya na kukanusha kuwa sio kweli kwamba CUF wamejitoa katika umoja huo

No comments:
Post a Comment