MTOTO WA CHRISTIANO RONALDO AONYESHA KIWANGO KWA KUUCHEZEA MPIRA KAMA BABA YAKE - LEKULE

Breaking

29 Jun 2015

MTOTO WA CHRISTIANO RONALDO AONYESHA KIWANGO KWA KUUCHEZEA MPIRA KAMA BABA YAKE


Cristiano Jnr akionyesha uwezo wa kuuchezea mpira akiwa ufukweni katika Visiwa vya Bahamas.

…akizidi kufanya yake

Cristiano Ronaldo akiwa na mpira waliokuwa wanautumia na mwanaye.

Cristiano Ronaldo na kijana wake wakijiachia katika ufukwe huo.

MTOTO wa Cristiano Ronaldo, Cristiano Jnr mwenye umri wa miaka mitano amedhihirisha usemi wa ‘Mtoto wa Nyoka ni Nyoka’ kwa kuonyesha kiwango cha hali ya juu katika kuuchezea mpira.

Mtoto huyo alionyesha uwezo huo akiwa sambamba na baba yake kwenye Visiwa vya Bahamas walipokwenda kwa ajili ya mapumziko.

Cristiano Jnr anaonyesha kuuchezea vilivyo mpira akiwa na baba yake kwenye ufukwe mmoja uliopo visiwani humo.

No comments: