LOWASA APOKELEWA KWA SHANGWE SIMIYU,APATA WADHAMINI 5,000 - LEKULE

Breaking

11 Jun 2015

LOWASA APOKELEWA KWA SHANGWE SIMIYU,APATA WADHAMINI 5,000


Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mpinduzi(CCM) na wananchi baada ya kupokea majina ya wanachama zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu jana.

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM) wakicheza baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kukabidhiwa majina ya wanachama wa chama hicho zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu. Leo Lowassa atakuwa mkoani Shinyanga Kusaka wadhamini



No comments: