Muimbaji Hamis Baba aka H Baba leo ameamua kuandika
kwenye ukurasa wake Instagram kuhusu video mpya ya Ali Kiba iitwayo
Chekecha iliyochezwa kama ‘Exclusive’ June 29 kwenye kituo cha luninga
maarufu Trace Tv ya Ufaransa.
Ujumbe huo unasomeka hivi; ‘#KIUKWELI WEE JAMAA@officialalikiba UMENIFURAHISHA SANA KWENYE HII #VIDEO KAMA NILIOTA VILE #UMEITENDEA HAKI WIMBO HUU WA #CHEKETUA PIA UMECHEZA VIZURI SANA NAUFUNDI WASAUTI SASA NIMENJOY SANA KUITAZAMA NARUDIA RUDIA TUU#SALUTE KIBA #NAONGEA KAMA#MWANAMUZIKI MWENZAKO #salute#KINGKIBA HUU WIMBO UMEUTENDEA HAKI SANA @VIDEO HATARIIII#NILICHOPENDA KWENYE HII VIDEO#LOCATION ZAKE TAMU SANA#UTAZANI SIO MAREKANI KAMA KINO AU MIGO #UVAAJI ULIOVAA UNAENDANA NA #CHEKETUA LILE BEAT LAKO NANGUO NIMEPENDA#UNAJUA NINI UNAFANYA #HONGERAZAKO #WAHUSIKA WALIOMO NDANI YA VIDEO #KIAFRIKA ZAIDI#HONGERAA SAAAANA
#SINA TEAM YOYOTE HUMU NDANI ILA #KIBA ANAJUA TUACHE MASIHAraaaa
MWANAMUZIKI kumkubhali mwenzio inaruhusiwa SIO KIFUNGO CHA MIAKA#30 JERA kama wenzangu wanavyoogopa #hii video nikaliiiiiiiiiiiii#wimbo mkaliiiiiiiiiiiiiiiiii

No comments:
Post a Comment