Gari linalohisi mashimo barabarani - LEKULE

Breaking

12 Jun 2015

Gari linalohisi mashimo barabarani


Watafiti wa gari aina ya Landrover Jaguar wametengeza gari ambalo linaweza kuhisi mashimo yalio barabarani wakati linapoendeshwa.Sensa zilizopo katika gari hilo hubaini mashimo hayo na hutuma ujumbe wa data hiyo kwa haraka kwa madereva na mamlaka ya eneo hilo.

No comments: