pygmy marmoset (Cebuella pygmaea) ni tumbili mdogo zaidi duniani akipatikana katika misitu Amazon Amerika ya Kusini. Ni dhahiri kwa kuwa ndiye tumbili mdogo akiwa na uzito wa glam 100 (3.5 oz), Tumbili huyu anauzwa bei ya juu sana kwani mmoja hufikia hadi $1500-$5000
No comments:
Post a Comment