Mufti asema unaweza 'kumla' mkeo Saudia - LEKULE

Breaking

12 Apr 2015

Mufti asema unaweza 'kumla' mkeo Saudia



Ni sawa kumla mkeo unapohisi njaa nchini Saudi Arabia lakini tu iwapo unahisi njaa kali'.

Mufti-kiongozi wa dini ya kiislamu aliye na uwezo wa kutoa uamuzi kuhusu maswala ya kidini-ametoa idhini ya ulaji wa mtu.

Kulingana na gazeti la Metro nchini Uingereza na mtandao wa Alalam nchini Saudia Abdul Azizi bin Abdullah alishtumiwa kufuatia tamko lake kulingana na mitandao mingi ya kiarabu.

Mtandao wa A Tayyar uliripoti:Mufti mmoja wa Saudi Arabia alitoa agizo ambalo linamruhusu mwanamume aliye katika ndoa kumla mkewe iwapo anahisi njaa kali.

Mufti huyo amesema kuwa hatua hiyo inaonyesha vile mwanamke anafaa kumheshimu mumewe.

Lakini mamlaka ya kidini yamekana kwamba kiongozi huyo alitoa matamshi kama hayo.

No comments: