Matumaini: Nimeamua Kumwimbia Mungu - LEKULE

Breaking

8 Apr 2015

Matumaini: Nimeamua Kumwimbia Mungu



Msanii wa vichekesho, Tumaini Martin ‘Matumaini’ amesema kuwa baada ya kuugua ameamua kumtolea Bwana maisha na sasa anaimba nyimbo za Injili.

“Namshukru Mungu kwa mapito niliyopitia, nimeamua kumkabidhi Mungu maisha yangu kwa kumuimbia na wimbo wangu wa kwanaza ulikuwa ni Nimepona nikimshukru Mungu kwa muujiza wake,”alisema Matumaini katika mazungumzo na mwandishi wetu.

Matumaini alisema kuwa ana albanu ya nyimbo sita ambazo zote amemshirikisha pacha wake katika fani ya uchekeshaji Kiwewe na wanaimba kikomediani kama wafanyavyo katika Komedi zao. Matumaini anasali katika kanisa la Mito ya Baraka.

No comments: