Wakuu wa sirika la utangazaji BBC , wametangaza kuwa kipindi kijacho ambacho ni cha nne cha 'Have I Got News For You', kitatangazwa na Jeremy Clarkson.
Jeremy alikuwa mtangazaji wa zamani wa kipindi maarufu cha runinga pia cha 'Top Gear' atarekodi kipindi hicho kwa awamu tofauti tofauti na kitarushwa baadaye na kituo cha BBC2 mnamo April 24.
Msemaji wa mtangazaji huyo amesema kwamba mkataba wa Jeremy umesainiwa upya na Top Gear na mtangazaji huyo hajapigwa marufuku kuonekana katika runinga za BBC.”
Jimmy Mulville, nguli wa runinga amabye ni mmiliki wa Hat Trick, kampuni ambalo linazalisha kipindi hicho cha 'Have I Got News For You', limesema kwamba kipindi hicho kingepaswa kurushwa mwezi jana katikati ya vipindi vya Top Gear had said that he hoped the planned show would go ahead at the Broadcasting Press Guild last month, in the middle of the 'Top Gear' .
Lakini pia Jimmy hakusita kufanya mzaha kwamba pengine wanaweza kumpata mzalishaji ambaye anauthubutu wa kumtanga ngumi Jeremy Clarkson akiwa runingani .
Shirika la utangazaji la BBC lilikataa kusaini mkataba mpya na Clarkson baada ya kugundua kuwa alimshambulia mmoja wa wazalishaji aitwaye , Oisin Tymon,wakati walipokuwa wakirekodi kipindi cha runinga huko Yorkshire.
Mkurugenzi mkuu wa BBC Lord Hall,amesema kwamba mstari ushafungwa na hakuna kanuni moja kwa moja na kanuni moja kwa ajili ya mwingine.
Na kauli ya mkurugenzi huyo pengine inafuatia polisi wa Yorkshire kuarifu kwamba kesi hiyo haina mashiko na haitasonga popote,na Clarkson hatakabiliwa na mashtaka yoyote kutokana na kitendo alichokifanya.
Na mzalishaji aliyeshambuliwa Tymon hakusita kutoa ya moyoni kwamba hakuwa na mpango wowote wa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Clarkson.
Kurejea kwa Clarkson kwenye shirika la utangazaji la BBC kumethibitishwa na mipango ya James May na Richard Hammond wanaoendesha vipindi vya Top Gear ambao walisema kwamba vipindi hivyo vitaendelea kuoneshwa tena baadaye mwaka huu.
No comments:
Post a Comment