Hamisa Mabeto Ajifungua Mtoto wa Kike - LEKULE

Breaking

11 Apr 2015

Hamisa Mabeto Ajifungua Mtoto wa Kike



Mwanamitindo kiwango Bongo, Hamisa Hassan Mobeto amejifungua mtoto wa kike hivi karibuni na kuwashangaza wengi kwani mimba hiyo ilikuwa na usiri mkubwa tofauti na wafanyavyo mastaa wengine.

No comments: