EFM RADIO YAZUNGUMZA NA WADAU WA HABARI ZA MITANDAO - LEKULE

Breaking

5 Apr 2015

EFM RADIO YAZUNGUMZA NA WADAU WA HABARI ZA MITANDAO



Mtangazaji wa Radio 93.7 EFM ya jijini Dar es Salaam, Samira Kiango (pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wadau wa Habari za Mitandao, Clarence Mulisa kutoka Global Publishers & General Enterprises Ltd (kulia), Fredrick Bundara kutoka Bongo 5 (pili kushoto) pamoja na Othman Michuzi wa Mtaa kwa Mtaa Blog chini ya Michuzi Media Group, mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha Mezani, kilichokuwa kikijadili suala zima la Muswada wa Sheria za Makosa ya Mtandao 2015, kilichoruka hewani jana asubuhi. Aliyeketi ni Johnbosco Kamili wa EFM.

No comments: