Breaking News: Majambazi Yatiwa Mbaroni jijini Dar Yakiwa na Bunduki 2 - LEKULE

Breaking

21 Apr 2015

Breaking News: Majambazi Yatiwa Mbaroni jijini Dar Yakiwa na Bunduki 2

Watuhumiwa wa Ujambazi wakiwa wamewekwa chini ya Ulinzi mara baada ya kutiwa mbaroni kwenye mataa ya Red cross katikati ya jiji Dar es salaam mchana huu.

Inaelezwa kuwa Majambazo hao walimvamia na kumpora raia mmoja wa kigeni (Mzungu) maeneo ya Kinondoni na kufanikiwa kukimbia, lakini kumbe wakati wanafanya tukio hilo kuna raia aliwaona na alijitolea kuwakimbiza kwa gari na kufawanikiwa kuwablock maeneo hayo ya Red Cross ambapo huwa na askari wengi wa doria, wamekamatwa na bunduki mbili.

No comments: